AyoTV

Walichokifanya Mtanzania Shaa na Jackie wa Uganda ndani ya hizi dakika 4. @CokeStudioAfr

on

shaa 2Shaa ni miongoni mwa wakali ambao Tanzania inajivunia wao kwenye stage.. historia yake na muziki wake vimeanzia mbali na ameweza kuwa miongoni mwa mastaa wa bongofleva ambao hawajawahi kupotea kwenye headlines.

Tazama alichofanya Shaa kwenye hii video hapa chini…

Kama utapenda kujua nini kitatokea kwenye next episode inabidi ukae karibu na TBC1 & TBC2 Jumamosi hii saa tatu usiku…

Tupia Comments