AyoTV

#AyoTV: Dakika 3 za Shetta on TV!! unataka kuliona gari lake? kinachompa mkwanja je?

on

Screen Shot 2014-10-13 at 9.47.23 AMHii ni post maalum kwa ajili ya Shetta ambae ni staa wa bongofleva akiweka wazi baadhi ya vitu vilivyompa mafanikio kwenye muziki……… unataka kujua mabadiliko makubwa ya kiuchumi yametokea kwake ndani ya kipindi gani? pesa yake kubwa anaipata kutoka wapi?

Unaweza kutazama anachosema on AyoTV kwa kubonyeza play hapa chini…

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments