fB insta twitter

Unamkubali mchekeshaji Kansiime? kaonyesha picha za mpenzi wake na kuandika haya….

on

Kansiime 2Ni mchekeshaji wa Uganda ambae tumekutana na video zake fupifupi nyingi sana kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, facebook na hata tumekua tukirushiana Whatsapp.

Kwenye upande wake wa pili kama binadamu, Kansiime amepost picha ya yeye na mpenzi wake wakiwa wanasherehekea mwaka mmoja wa ndoa yao na kusema >>> ‘Kwenye mahojiano ya hivi karibuni niliulizwa utapigana kwa ajili ya Mwanaume wako? hmmm nikacheka, aliyenihoji hakuwa anajua kama hata naweza kuingia vitani kwa ajili tu ya Ojok wangu, ni mwaka mmoja sasa toka tuchague kuwa pamoja na natarajia kufurahia miaka mingine mingi’
Kansiime na mpenzi wake Oct 12 2014

Kansiime na mpenzi wake msg Oct 12 2014Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments