AyoTV

Uliiona hii ya Vanessa Mdee na Jux weekend iliyopita?

on

Jux 1Waimbaji Jux na Vanessa Mdee tayari mpaka sasa wameshachukua nafasi kwa kiasi chake kwenye headlines za stori za mastaa wa bongo mwaka huu na hii ni kutokana na wawili hawa kuonekana pamoja sehemu kadhaa.

Kama unataka kuziona dakika zao chache baada ya kukutwa na camera ya AyoTV weekend iliyopita unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini…

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments