AyoTV

Umepata alichokisema Ommy Dimpoz kuhusu ile picha yake iliyosambaa?

on

Ommy Dimpoz pichaNajua kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha ya zamani ya Ommy Dimpoz aliyoipiga Kigoma ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii bila ya idhini yake.

Ommy Dimpoz ni mmoja wa wakali watakaopanda kwenye stage ya Fiesta Jumamosi hii Leaders Dar es salaam, unajua ni nini alichokisema baada ya kukutana na camera ya AyoTV? bonyeza play hapa chini mtu wangu…

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments