AyoTV

Dakika 3 za Hemedy PHD na Gelly kwenye hii video mpya!

on

HMD 2Gelly wa Rhymes na Hemedy PHD wamekua friends ambao kazi yao kubwa ya movie wanaifanya pamoja lakini kazi yao nyingine ikibaki palepale ambayo ni kufanya muziki wa bongofleva.

Ninayo furaha sasa hivi kushare na wewe video yao mpya inaitwa ‘The One

Unayo ya moyoni na ungependa yawafikie Hemed na Gelly ambao watapita hapa jioni kusoma comments za watu wao? yaandike yote kwenye comment mtu wangu

Tupia Comments