Habari za Mastaa

Picha nyingine za Kigoma zilizonivutia usiku na mchana toka nimefika jana.

on

PBF_6277Mtu wako wa nguvu Millard Ayo nimefika Kigoma jana kwa ajili ya kuja kusherehekea ule msimu wa dhahabu (FIESTA 2014) na watu wangu wa Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kesho Jumamosi October 25 2014.

Lakini pamoja na hayo nimekua na time ya kupita kwenye mitaa mbalimbali ya 89.3 Kigoma kujionea mwenyewe huwa inakuaje, hii ni mara yangu ya pili kufika hapa ambapo toka mwaka jana nilisema nimevutiwa sana na uhodari wa taa za barabarani kuwaka zote na kwa wakati.

PBF_6280

Kitu kingine ninachopenda kuhusu Kigoma ni kwamba huwa pamechangamka sana usiku ndio maana nimejikuta naipenda Kigoma usiku zaidi.

Pia watu wa Kigoma ni wakarimu sana yani, kama uliisikiliza AMPLIFAYA ya CloudsFM jana walisikika wakionyesha upendo wao kwangu baada tu ya kuniona.

PBF_6273

PBF_6275

PBF_6276

PBF_6282

PBF_6283

PBF_6228

Hapa ni kwenye kituo cha daladala Stesheni

PBF_6222

PBF_6208

Nimekuja kujikuta navutiwa zaidi na ufukwe wa Ziwa kuliko wa bahari, hii ni kwenye ziwa Tanganyika ambapo huwa kuna upepo mzuri sana pia

PBF_6206

PBF_6200

PBF_6199

PBF_6197Kesho Jumamosi nitakua pamoja na watu wangu kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kwa ajili ya tamasha la Fiesta 2014 ambalo linawakutanisha wakali kama Ali Kiba, Mr. Blue, Stamina, Baba Levo, Linex na wengine.

Tupia Comments