AyoTV

Picha 4 za Chidi Benz baada ya kupata dhamana Mahakamani leo.

on

chidi 3Alishikiliwa na Polisi baada ya kukutwa na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam wakati akijiandaa kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye show.

Baada ya kufikishwa Mahakamani October 28 2014 na kusomewa mashtaka matatu alirudishwa rumande huku kesi yake ikiahirishwa mpaka November 11 2014 na wakati huohuo pia ikisemekana alikua kwenye mipango ya kupata dhamana.

October 29 2014 Chidi Benz alipata dhamana kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu baada ya kupata Wadhamini wawili pamoja na shilingi milioni moja.

chidi 4

Chidi 2

Chidi 1

Tupia Comments