Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League
Sports

Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League

September 15, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Usiku wa Alhamisi ya Septemba 15 2016 ilikuwa siku ambayo macho ya watanzania wengi waliyaelekeza Austria  kumuangalia nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta akiandika historia mpya katika maisha yake ya soka kwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Europa League akiwa na KRC Genk.

0025-1

Samatta ambaye alicheza kwa dakika 77 kabla ya kocha wake Peter Maes kumtoa na kumuingiza mgiriki Nokolaos Karelis, alitolewa wakati ambao timu yake ipo nyuma kwa goli 3-1 kabla ya dakika ya 90 mjamaica Leon Bailey kufunga goli la pili kwa mkwaju wa penati na kuufanya mchezo umalizike kwa Genk kupoteza kwa goli 3-2.

67

Kipindi cha kwanza licha ya Genk kuzidiwa hali ya umiliki wa mpira kwa asilimia 53 kwa 47 walienda mapumziko wakiwa mbele kwa goli moja lililofungwa na Leon Bailey ikiwa ni assist safi iliyotoka kwa Pozuelo alipewa mpira na Samatta, hali ilibadilika kuanzia dakika ya 51 hadi 60 Genk waliporuhusu kufungwa goli 3 ndani ya dakika 10.

Msimamo wa Kundi F iliyopo KRC Genk anayoichezea @samatta77 #EuropaLeague pic.twitter.com/KxT4DuVp7P

— millard ayo (@millardayo) September 15, 2016

Magoli ya Rapid Wien yalifungwa na Stefan Schwab dakika ya 51, Joelinton Cassio dakika ya 59 na Omar Colley wa Genk aliyejifunga baada ya kumrudishia mpira kipa wake Marco Bizot na kuukosa dakika ya 60, KRC Genk watacheza mchezo wao wa pili wa Europa League Septemba 29 wakiwa nyumbani dhidi ya klabu ya Sassuolo Calcio ya Italia.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

You Might Also Like

Samatta amerejea KRC Genk ya Ubelgiji

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

TAGGED: Mbwana Samatta, Soka bongo
Rama Mwelondo TZA September 15, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Instagram: Maneno matatu aliyoyaandika Shilole baada ya kumpost Nuh Mziwanda
Next Article Feyenoord kavunja rekodi ya Man United katika historia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?