AyoTV

UZINDUZI: Ni ile Barabara Paul Makonda alizindua ujenzi wake kwa kuendesha Greda

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda  ameendelea na mpango wake wa kubadilisha muonekano wa jiji la Dar es salaam kufikia viwango vya majiji ya kimataifa leo hii amegusa idara ya miundombinu ya barabara ambayo ni moja ya nyenzo ya ukuaji wa kiuchumi kwa taifa lolote lile.

Ombi la ujenzi wa miundombinu ya barabara ya bandari via kidongo chekundu yenye urefu wa km 1 ambayo ndio kiungo kikubwa kwa upande wa bandari  hapa nchini lilitolewa na Paul Mkaonda miezi 2 iliyopita kwa kampuni ya ujenzi ya kizalendo ya Grant Tech Company, Mkandarasi huyu amekabidhi barabara iliyokamilika kwa kiwango cha zege yenye zaidi ya thamani ya mil 750. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

 

 

ULIIKOSA HII YA RC MAKONDA ALIYOZUNDUA UJENZI WA BARABARA KWA KUENDESHA GREDA, ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments