AyoTV

Uliziona hizi dakika 3 za @MwanaFA baada ya kwenda Tanga?

on

Screen Shot 2014-11-05 at 10.40.01 AMSiku zote huwa inanifanya nitamani kuona inakuaje pale msanii flani anaporudi nyumbani kwao au kwenye mkoa wake na kufanya show…. kipimo cha upendo wa mashabiki ndio huwa napenda kuanza nacho.

Ukitaka kufahamu ilivyokuwa kwa MwanaFA nyumbani kwao Tanga tazama hii video hapa chini…

 

Tupia Comments