Mara nyingi kwenye maisha ukiwauliza watu waliofanikiwa safari yao ilikuaje basi lazima watakueleza jinsi walivyo anzia chini mpaka kufikia mafanikio hayo, Ayo TV imekutana na Novati Tenga ambaye ni mchaga mwenye taaluma ya uhasibu ambaye ameelzea safari yake ya utafutaji ilipoanzia mpaka sasa kumiliki kampuni ya kuuza magari.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Novati akisimulia.
MAMA HAMISA: “Hamisa amelipwa hela ndefu, mimi ni meneja wake”
VIDEO: Hamisa Mobeto apata shavu aingia mkataba na kampuni hii