Habari za Mastaa

Harmonize kajibu alichozungumza Wolper ON AIR WITH MILLARD AYO

on

Ni siku moja tu tangu Mwigizaji staa Jacqueline Wolper kuhojiwa na Mtangazaji Millard Ayo kuhusu kuachana na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize na kufunguka kiundani sababu ya kuachana naye huku akimtaja Sarah ambaye ni mwanamke mpya wa Harmonize na wengine.

Sasa leo August 24, 2017 Harmonize ameamua kuandika maneno 16 kwenye Instagram yake yanayoashiria huenda ni majibu kwa mpenzi wake huyo wa zamani.

>>>”KUZUNGUMZIA VILIVYO PITA TENA KIUNDANI NI USHAMBA TUFANYE MAISHA AU MNASEMAJE WANANGU WA MTAA ?? #NDIKUMANA_RAPA…??? #TANGA_CITY_LOUNGE 2/9/2017″ – Harmonize

PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA..

HATIMAE!! Wolper afunguka ilikuaje mpaka wakaachana na Harmonize

Soma na hizi

Tupia Comments