Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo mawili ya kufahamu kutoka Yanga kuhusu Ngoma na kadi nyekundu ya Chirwa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Mambo mawili ya kufahamu kutoka Yanga kuhusu Ngoma na kadi nyekundu ya Chirwa
AyoTV

Mambo mawili ya kufahamu kutoka Yanga kuhusu Ngoma na kadi nyekundu ya Chirwa

March 3, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kama ni shabiki wa Dar es Salaam Young Africans taarifa ikufikie kuwa katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa ameweka wazi taarifa za Donald Ngoma zinazoendelea za kutuhumiwa kuwa hataki kucheza na kueleza kushangazwa kwa kutopata majibu ya rufaa ya kadi nyekundu ya Obrey Chirwa.

Mkwasa ameeleza kuwa wamekata rufaa na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa kupinga kadi nyekundu aliyooneshwa mshambuliaji wao wa mzambia Obrey Chirwa katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting lakini kamati ya saa 72 haijatoa majibu yoyote.

ALL GOAL: SIMBA VS YANGA FEBRUARY 25 2017, FULL TIME 2-1

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

EXCLUSIVE: Msanii Bando kafunguka, hana Dini, alilelewa miezi 6, ampoteza Baba

Rais Samia afika kwenye kaburi la hayati Magufuli huko Chato

Nick Minaj akataa kuchanjwa chanjo Covid-19, asema “Mtu kawa mgumba”

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

TAGGED: Ayo TV, AyoTV
Rama Mwelondo TZA March 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Tutawapima wachezaji, anayetumia dawa za kulevya tutaondoka naye”-Makonda
Next Article VIDEO: Imetajwa idadi ya wanaolipa kodi TRA kati ya Watanzania mil 45
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?