Habari za Mastaa

VIDEO FUPI: Wema Sepetu amewasili nyumbani kwa Godbless Lema

By

on

Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, Leo Jumapili March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.

VIDEO: CHADEMA Wamezungumzia ishu ya kumpa ulinzi Wema Sepetu na familia yake, Bonyeza play kutazama,

Soma na hizi

Tupia Comments