Habari za Mastaa

Model Audition ya Wolper abeba kumi na kuwapa Ajira House of Stylish

on

Muigizaji Wolper siku ya Leo March 25, 2018 amefanya Audition maeneo ya Magomeni DSM ya kusaka ma model watakao tumika siku ya show yake tarehe ya March 31 mwaka huu lakini pia watakuwa chini yake kwa kipindi chote baada ya show hiyo wakivalishwa mavazi kutoka kwake ikiwa pamoja na kuajiri wasichana hao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa.

CHIZI KIZIWI KAFUNGUKA “Nime-block Ebitoke alinitumia meseji za kashfa”

JAYMOND KAZUNGUMZA “Najiamini ninachofanya nitamuigiza yeyote natumia Fasihi”

Soma na hizi

Tupia Comments