Top Stories

Maneno 12 kayaandika Dr. Mengi‏ leo August 21, 2017

on

Leo August 21, 2017 Mwenyekiti wa IPP Dr. Reginald Mengi kupitia Twitter yake kayaandika maneno 12 ikiwa ni ujumbe kwa watu ambao huwa na tabia ya kusema wako pamoja na wengine lakini sivyo wanavyomaanisha.

Dr. Mengi ameandika>>>“Waogope watu wanaokuambia eti wako nyuma yako. Mara nyingi ukigeuka nyuma hawapo @MagufuliJP” – Reginald Mengi‏.

Hali ya Mbunge Ester Bulaya akiwa Hospital..

Soma na hizi

Tupia Comments