Jumanne ya May 10 2016 klabu ya Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans katika uwanja wa Sokoine Mbeya, mchezo huo ulimalizika kwa Yanga ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Vincent Bossou dakika ya 15 na Amissi Tambwe dakika ya 84.
ALL GOALS: YANGA VS GD ESPERANCA MAY 7 2016, FULL TIME 2-0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE