Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichoandika Hemedy PHD kuhusu msanii wa Tanzania aliesema hafanyi tena collabo na Wabongo.
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > fB insta twitter > Alichoandika Hemedy PHD kuhusu msanii wa Tanzania aliesema hafanyi tena collabo na Wabongo.
fB insta twitterHabari za Mastaa

Alichoandika Hemedy PHD kuhusu msanii wa Tanzania aliesema hafanyi tena collabo na Wabongo.

November 10, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

Screen Shot 2014-11-10 at 11.03.32 AMMwigizaji/Mwimbaji Hemedy PHD ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania ambao hutumia sehemu ya muda wao pia kuandika kwenye mitandao ya kijamii yake ya moyoni ama kuwafikishia taarifa mashabiki wake.

November 10 2014 Hemedy aliandika tweet ikisema >>> ‘Mtu anasema hategemei kufanya collabo na msanii wa bongo ikiwa ngoma zake zote kabebwa na collabo, fikiri kabla ya kuzungumza‘

Hemedy ameandika tweet hii siku kadhaa baada ya msanii Shetta kusema kwa sasa hafikirii kufanya collabo na Wasanii wa Tanzania bali anafanya mpango wa kujipenyeza kimataifa zaidi akisema ‘nimefanya collabo nyingi na Wasanii wa Tanzania ndio maana siko tayari kufanya tena hivyo nikawa nawaza mawili, nifanye collabo na msanii wa kimataifa au kutoa wimbo peke yangu?‘

MTU ANASEMA HATEGEMEI KUFANYA TENA COLLABO NA MSANII WA BONGO IKIWA NGOMA ZAKE ZOTE KABEBWA NA COLLABO!what a looseR!!thnk before you speak

— FAR AWAY (@hemedyPHD) November 10, 2014

Kwenye tweet nyingine Hemedy aliiandika kumuhusu President Jakaya ambae yuko Marekani alikokwenda kutibiwa.

UGUA POLE MR.PRESIDENT JAKAYA MRISHO….INSHALLAH MUNGU AKUPE AFYA TENA NA URUDI KATIKA HALI YA KAWAIDA! — FAR AWAY (@hemedyPHD) November 10, 2014

 Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Millard Ayo November 10, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Umesikia kuhusu ajali ya ndege iliyoua familia ya mchungaji?
Next Article Unataka kuuza au kununua fedha za kigeni? bei ya leo ninayo hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?