fB insta twitter

Kingine alichoandika Sitti Mtevu leo na alichoandikiwa na Mbunge Ridhiwani Kikwete

on

Screen Shot 2014-11-10 at 11.34.05 AMNi siku ya tatu toka Sitti Mtemvu kulivua taji la Miss Tanzania alilotangazwa mshindi baada ya kuandamwa na baadhi ya Watanzania ambao hawakukubaliana na ushindi wake ambapo baada ya kulivua taji hilo Sitti amekua na time ya kuandika machache kwenye page yake ya twitter.

Screen Shot 2014-11-10 at 11.57.09 AM

Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza — Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014

— Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 9, 2014 Usihofie kuhusu maisha yangu, hofia kwanini unahofia maisha yangu

Hii hapa chini ilikua ni tweet ya Sitti October 27 2014 baada ya taarifa za uongo kusambazwa kwamba kalivua taji hilo

Tupia Comments