Habari za Mastaa

Izzo B amerudi kwenye Radio yako, new single ft. G Nako ‘haina kufeli’

on

Screen Shot 2014-11-12 at 1.05.27 AMMara yetu ya mwisho kumsikia G Nako kwenye kolabo ilikua ni hit single aliyopewa shavu na MwanaFA, sasa hivi staa huyu ambae kapewa a.k.a ya Chorus Killer kapewa tena shavu jingine kwenye new single ya mkali wa Green City Mbeya Izzo B ‘haina kufeli

Ukitaka kuisikiliza hii single na kudownload bure bonyeza >>> HAPA

Screen Shot 2014-11-12 at 1.11.58 AMNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments