Habari za Mastaa

Chris Brown na Trey Songz wameungana kwenye hii…. video zao fupi ziko hapa pia

on

Screen Shot 2014-11-12 at 2.10.00 AMWakati WEUSI wakiwa na tour ya kuzunguka kwenye miji mikubwa ya Tanzania kufanya Tour walizoziandaa wenyewe Wamarekani waimbaji mastaa Chris Brown na Trey Songz na wao wametangaza Tour ambayo itafanyika ndani ya Marekani kuanzia January 2015 ambapo Tyga atajiunga nao kama mgeni.

Tour hii itakua inafanyika miaka 10 baada ya wawili hawa kufanya Tour nyingine ya vyuo na ndio maana Trey anasema huu ni wakati sahihi kwa wao kuifanya sababu ni longtime.

Chris na Trey waliitangaza hii tour mbele ya Waandishi na mashabiki huku tukio likisimamiwa na mtangazaji Terrence J ambapo walitumia dakika zao chache kuimba kidogo.

Chris Brown and Trey Songz performing on stage #BetweenTheSheetsTour #Loyal

A video posted by Rap-Up (@rapup) on

BRZY x TRGA #Tuesday #BetweenTheSheetsTour

A video posted by Rap-Up (@rapup) on

Tupia Comments