Mix

Sasa unaweza kuwa ripota wa nguvu kwenye millardayo.com na AyoTV! ichukue hii

on

Screen Shot 2014-11-12 at 3.40.55 AMKwa kuzingatia kwamba sasa hivi matukio ni mengi yanatokea kwenye kila kona ya dunia na nina watu wangu wa nguvu huko wanaoweza kutumia vizuri teknolojia tuliyobarikiwa nayo sasa hivi, nimeamua kutoa nafasi ya kutumiwa taarifa mbalimbali pamoja na picha ambazo baada ya kuzichuja kwa kuzingatia vigezo nitazitumia kwenye millardayo.com AyoTV na hata kwenye Amplifaya ya CloudsFM.

Cha kufanya ni kunitumia chochote ulichokutana nacho au ulichotumiwa kwenye email ya ripotawanguvu@gmail.com au kutuma msg kwa Whatsapp +255 762 804 147 na zawadi mbalimbali zitakua zinatolewa kwa kila Ripota wa nguvu ambae stori yake itatumika.

Mtu wako wa nguvu Millard Ayo.

Tupia Comments