Habari za Mastaa

Kutana na Dj wa Tanzania atakaetuwakilisha kwenye jumba la BBA weekend hii.

on

Screen Shot 2014-11-12 at 3.51.52 AMNajua tunae Mtanzania mmoja tu aliebaki kwenye jumba la Big Brother Africa ambae ni Idris na tunatakiwa kumsupport sana kwa kumpigia kura kama inavyoonekana hiyo namba kwenye picha yake hapa chini.

Baada ya kukwambia hilo, naomba kuwasilisha kwako taarifa rasmi kwamba weekend hii inayokuja Dj Tass wa Magic FM ndio ataiwakilisha Tanzania kwa kuwa The Official DJ kwa weekend hii.
Screen Shot 2014-11-12 at 3.51.45 AM

Tupia Comments