Mix

Picha 14 za ajali ya basi leo asubuhi Kahama Shinyanga.

on

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.22 AMNashukuru kila ripota wa nguvu ambae amekua akitoa ushirikiano wa kutuma chochote anachokutana nacho mbele yake na hii ni baada ya millardayo.com na AyoTV kutangaza namba rasmi ya Whatsapp na email ili kupokea matukio mbalimbali ambayo mara nyingi hayafiki kwenye vyombo vya habari sababu ya upatikanaji.

Maripota wa nguvu kwenye hii post ni Easter, Shija Cash Money pamoja na Beka Mtanzania wote hawa wa Kahama ndio wamehusika kutuma hizi picha na taarifa kuhusu ajali ya basi iliyotokea leo asubuhi.

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.36 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.44 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.54.52 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.07 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.42 AMNi Basi la Wibonela Express linalofanya safari zake kati ya Kahama – Dar ambalo lilipinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama kilometa chache toka stand hiyo kwenye eneo la Phantom ambapo taarifa kutoka Polisi zinasema waliofariki ni watu wanne.

Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.48 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.55 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.01 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.35 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.29 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.21 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.10 AM

Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.13 AM

Tupia Comments