Michezo

Picha kutoka kwenye himaya ya Mrisho Ngassa, kaoa tena na huyu ndio shemeji yetu

on

Mrisho NgassaNi staa wa soka ambae headlines zake nyingine za hivi karibuni zilihusu mke wake kumfikisha Mahakamani baada ya ndoa yao kuingia mifarakano.

Jana November 16 2014 Ngassa amefunga ndoa na Mwanamke mwingine ambae kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally, ni rafiki yake wa zamani na anaitwa Radhia ambapo hii inakua ndoa ya pili kwa Ngassa.

Miongoni mwa waliokuwepo ni pamoja na baba mzazi wa Ngassa pamoja na kipa Juma Kaseja.
Mrisho Ngassa 2

Tupia Comments