Michezo

Pale Arsene Wenger alipowekewa sanamu ya Jose Mourinho na kutakiwa ashikane nayo mkono

on

business man positive deal with handshake isolatedKatika zile stori za michezo na hekaheka zake uwanjani mwaka huu wa 2014 hatutoisahau ile ya mshikemshike uliotokea uwanjani wakati kocha wa Arsenal Arsene Wenger alipopandishiana na kocha wa Chelsea Jose Mourinho.

Sasa baada ya beef hilo kuchukua headlines October, Wenger amechukua vichwa vingine vya habari baada ya kutokea kwenye show ya TV huko Ufaransa ambapo watangazaji wa show hiyo walimtega kwa kutaka ashikane mkono na sanamu ya kocha Jose Mourinho.
wenger 1

Alikubali na akatumia sekunde zaidi ya sita kunyanyua mkono wake na kuushika mkono wa kulia wa sanamu ya Jose Mourinho akitabasamu kama inavyoonekana kwenye hii picha hapa chini.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments