Michezo

Wachezaji gani 11 anaowakubali Yaya Toure na angewapanga uwanjani? kati ya Messi na Ronaldo je?

on

YayaNi kitu ambacho shabiki yeyote angependa kukisikia au kukiona…. ni matokeo ya swali aliloulizwa staa wa soka duniani Yaya Toure kwamba akipewa nafasi ya kupanga kikosi cha wachezaji 11 anaowakubali duniani atampanga nani na nani?

Ukitaka kuona alivyowapanga hao wachezaji unaweza kutazama hii video hapa chini mtu wangu lakini kama utashindwa kuitazama, list yenyewe inawahusisha Barthez kama kipa, Maldini, Beckenbauer, Baresi, Cafu, Messi, Vieira, Zidane, Maradona, Pele na Baggio.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments