Habari za Mastaa

Rick Ross ametajwa kuwa mapenzini na huyu mrembo time hii

on

RozayRick Ross The Boss ambaye aliwahi kuja Tanzania kwenye Fiesta, juzi kati alifanya party ya kusherehekea album yake mpya ya Hood Billionaire huko Atlanta Georgia Marekani.

Unaambiwa kwenye party hiyo Rozay alikua bega kwa bega na mrembo Ming Lee ambaye anatajwa kuwa milionea kutokana na biashara ya nywele na kampuni yake ambayo inahusisha pia nguo na Salon.

Baada ya kuonekana pamoja zimeanza kusambaa fununu kwamba Rozay ndio kajiegesha hapo kwa sasa.

rozay 2Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments