Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Mix

Labda ungependa kuona kingine alichofanya Miss TZ 2012 Brigitte Alfred.

on

Brig 1Ni mara chache kwa warembo kama Brigitte kujitolea time yao, mawazo pamoja nguvu yao kufanya vitu kama hivi kwenye jamii ya Watanzania ambayo kila kona ina hitaji misaada mbalimbali ili kupiga hatua za kimaisha.

Ninachotaka kukwambia hapa ni kuhusu hili jambo kubwa alilolifanya Brigitte kupitia Foundation yake ya Brigitte Alfred ambayo kiukweli imeanza kubadili maisha ya baadhi ya Watanzania kama hawa kuanzia kwenye mitazamo.

brig 2Brig 7 brig 8

brig 3

brig 4

brig 5

brig 6Brigitte amekua miongoni mwa Warembo wachache wa Tanzania ambao wameweza kumiliki vichwa vya habari kwa habari nzuri na za kuwasaidia Watanzania.

Neno lako lolote kwenye comment linaweza kusaidia kumpa nguvu Brigitte kwenye hii kazi ambayo ndio kwanza ameianza.

Tupia Comments