AyoTV

VIDEO: Profesa Jay alivyoingia ukumbini kwa michano ni kamili gado

on

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ na mchumba wake Grace wamefunga ndoa July 8, 2017 baada ya kudumu katika uchumba kwa miaka 13 na moja kati ya matukio ya kupendeza katika harusi hiyo ni hili hapa la Profesa Jay kuingia ukumbini kwa michano.

Tazama kwenye VIDEO hii kwa kubonyeza PLAY!!!

Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa Jay 

Soma na hizi

Tupia Comments