Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kesi ya Chadema: Mahakama yapanga hatma ya dhamana ya Mbowe, Matiko
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kesi ya Chadema: Mahakama yapanga hatma ya dhamana ya Mbowe, Matiko
Top Stories

Kesi ya Chadema: Mahakama yapanga hatma ya dhamana ya Mbowe, Matiko

November 12, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa uamuzi wa kufuta ama kutofuta dhamana ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, November 23,2018.

Hatua hiyo inatokana na washtakiwa hao kujisalimisha mahakamani hapo na kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana, baada ya mahakama hiyo kuamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo ili wajieleze.

Uamuzi huo unatarajia kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya kusikiliza hoja za washtakiwa hao pamoja na maelezo ya upande wa mawakili wa utetezi na wa mashtaka.

Baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mashauri amepanga November 23, 2018 kutoa uamuzi kama awafutie dhamana washtakiwa hao ama lah. Pia mahakama hiyo imetoa nafasi ya mwisho kwa kumpa siku 5 Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kutafutwa wakili wa kumtetea.

Mbali na Mbowe, Msigwa na Matiko, washtakiwa wengine ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Bara na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya, na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Vincent Mashinji.

Washtakiwa hao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 13, ikiwemo kula njama,  kufanya mkusanyiko wenye ghasia, kuhamasisha hisia za chuki , kushawishi hali ya kutoridhika, uchochezi na kushawishi utendaji wa kosa la jinai kati ya Februari 1 na 16, 2018, Dar es Salaam.

UPELELEZI KESI YA MDOGO WA ROSTAM AZIZ, SERIKALI YAELEZA ULIPOFIKIA

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Ayo TV, habari kubwa, top stories
Mika Ndaba TZA November 12, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article TETESI: Timu atakayojiunga nayo Nasri baada ya kumaliza kifungo December
Next Article Didier Deschamps kamuona tena Anthony Martial wa Man United
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?