Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Mapendekezo ya Zitto Kabwe kuhusu kuboresha suala la Elimu nchini
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Mapendekezo ya Zitto Kabwe kuhusu kuboresha suala la Elimu nchini
AyoTV

VIDEO: Mapendekezo ya Zitto Kabwe kuhusu kuboresha suala la Elimu nchini

October 8, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Leo October 8 2016 chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano mkuu wa kidemokrasia katika ukumbi wa makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam. Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha hotuba yake ya ufunguzi na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu hali ya nchi kwa mtazamo wa chama.

Katika hotuba yake hiyo Zitto Kabwe ameizungumzia udhaifu wa suala la Elimu nchini ambapo amesema…..>>>Ujinga una gharama kubwa mno katika nchi, vitendo vingi vya ovyo tunavyovishuhudia katika siku za karibuni kama vile kuchoma watu moto ni tunda la ujinga unaotokana na elimu duni.

Hata hivyo katika hotuba yake zitto amependekeza haya……>>>kwa kuzingatia ushahidi wa kisayansi unaonesha kuwa walimu ndio msingi mkuu wa kujifunza na kuboresha elimu chama chetu kinahimiza kuwekeza katika kuweka mfumo imara wa motisha na uwajibikaji kwa walimu, tunasisitiza katika kuwekeza katika mafunzo ya walimu na kuhakisha walimu wanawlipwa katika  kiwangoo ambacho kitawawezesha kukabiliana na maisha uko walipo

>>>Tafiti zinaonyesha mtoto hujifunza vizuri zaidi kama atatumia lugha anayotumia nyumbani wakati wa kujifunza darasani, ukweli ni kwamba kutokana na mazingira duni ya kujifunza lugha ya kiingereza watanzania wengi hawamudu lugha hii na imekuwa kikwazo katika kujifunza, katika kutatua changamoto ya lugha ya kujifunza nchini msimamo wetu ni kuwa na mfumo pacha wa lugha ya kufundisia yaani billngual education system, katika mfumo huu kiswahili na kiingereza vitatumika sambamba kama lugha za kutoa na kutafuta maarifa.:-Zitto kabwe

ULIKOSA UFAFANUZI WA ZITTO KABWE KUHUSU SAKATA LA IPTL? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Mashambulizi Ukraine: Act Wazalendo waishauri Serikali ‘Watanzania wafuatwe’

Rais Samia amjibu Zitto ombi lake kumuachia Mbowe “Kusameheana kupo” (video+)

Kwa Unyenyekevu Zitto Kabwe amuomba hili Rais Samia (video+)

Tazama Zitto Kabwe na Shaka wa CCM msibani kwa Elias Kwandikwa (Video+)

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

TAGGED: ACT Wazalendo, Zitto Kabwe
Edwin Kamugisha TZA October 8, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Aliyoyazungumza Zitto kwenye mkutano mkuu wa kidemokrasia wa ACT
Next Article VIDEO: Mwenyekiti wa chama cha upinzani Kenya aeleza wakenya wanavyoona utendaji wa JPM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?