Top Stories

Taarifa ya Zitto Kabwe ni ya Uongo, “Ni upotoshwaji mkubwa amefanya”

on

Jeshi la polisi mkoani Kigoma limekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, akisema kuwa Polisi Mkoani humo wameua wananchi 100 katika tukio la kuwahamisha Wakulima katika eneo la Mpeta wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

LIVE MAGAZETI: Barua za madudu TRA zavuja, SAKATA LA TRIL. 1.5: BOT, CAG kikaangoni

 

Soma na hizi

Tupia Comments