Burudani

PICHA: Sauti Sol wapata shavu kwenye label ya Universal Music Group

on

NI Headlines  za kundi la muziki kutokea nchini Kenya, Sauti Sol ambao mapema leo asubuhi wamemaliza makubaliano na kusaini mkataba wa kufanya kazi na label kubwa iitwayo Universal Music Group.

Kwasasa Sauti Sol rekodi zao zitakuwa zikisimamiwa na Universal Music Group mpaka Album yao mpya inayotarajiwa kutoka mwaka huu  itakuwa chini ya Label hiyo

Soma na hizi

Tupia Comments