AyoTV

VIDEO: Baada ya kuipiga 4-0 Yanga, kocha wa Azam FC kaizungumzia nusu fainali dhidi Taifa Jang’ombe

on

Kuelekea mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2017 kocha mkuu wa muda wa Azåm FC Iddi Cheche ameelezea mikakati yake dhidi ya Taifa Jang’ombe licha ya kucheza mchezo wa mwisho wa Makundi dhidi ya Yanga na kuifunga kwa goli 4-0.

Cheche pia ameeleza mambo kadhaa kuhusu maandalizi ya mchezo huo lakini amesita kueleza kuwa kama kutakuwa kuna ingizo jipya katika mchezo wa kesho na kuhusu mbinu atakazotumia, Azam FC atacheza kesho nusu fainali ya kwanza dhidi ya Taifa Jang’ombe Saa 16:15.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments