Ad

AyoTV

TEKNOLOJIA: Kifaa kilichovumbuliwa kununulia Gas kwa miamala ya simu

on

Waziri wa Mazingira January Makamba leo August 1, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari Dar es Salaam na kusema kuwa yapo Makampuni hapa Tanzania ambayo yamemebuni kifaa maalumu ambacho kitasaidia kununua gesi kwa kutumia miamala ya simu.

ULIPITWA? Waziri Makamba kuhusu Mpango wa Serikali kupunguza matumizi ya Mkaa na Kuni…play kwenye video hii!

ULIPITWA? Serikali imewajibu wanaosema uchumi wa Nchi umeporomoka…play kwenye video hii!!

Soma na hizi

Tupia Comments