Hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii ilisambaa video ikimuonesha mwimbaji wa R&B Baraka The Prince akiwa kwenye mzozo huku akiwepo mtu aliyedaiwa kuwa ni Polisi akimuhitaji kwa ajili ya kwenda naye kituo cha polisi, sasa AyoTV na millardayo.com zimempata mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Dina anayehusishwa na kumfungulia kesi Baraka ambaye amesimulia kila kitu.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.
EXCLUSIVE: Utajiri wa Batuli, kaulizwa kuhusu maisha ya ufahari anayoishi, anatoa wapi pesa?