Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO:Takwimu zilizotolewa kuhusu vifo kwenye ajali za barabarani kwa miaka mitatu
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > VIDEO:Takwimu zilizotolewa kuhusu vifo kwenye ajali za barabarani kwa miaka mitatu
Mix

VIDEO:Takwimu zilizotolewa kuhusu vifo kwenye ajali za barabarani kwa miaka mitatu

September 26, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Naibu Waziri wa Mambo Ndani na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama, Hamad Masauni leo September 26, 2016 ametoa takwimu za ajali za barabarani wakati wa maadhimisho ya kuanza kwa wiki ya Nenda kwa Usalama Mkoani Geita.

Masauni amesema kuwa Taifa linasikitishwa na matukio ya ajali za zinazotokea kila mara huku akieleza kuwa ajali nyingi kati ya zinazotokea husababishwa na uzembe wa madereva na kuzitaka mamlaka za sheria na jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali na madhubuti ili kudhibiti hali hiyo.

Akitoa takwimu za ajali zilizotolewa na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, Naibu Waziri Masauni amesema kuwa kwa takribani miaka mitatu iliyopita kuanzia mwaka 2013 mpaka kufikia December 2015 kundi lililoongoza kwa kuathirika na matukio ya ajali ni abiria ambao idadi inaonesha kuwa watu 3444 walipoteza maisha, wakiwemo majeruhi 20,181. Kundi la watembea kwa miguu linafatia kwa kusababishiwa vifo vya watu 3328, majeruhi 8256 kutokana na ajali za barabarani.

>>>Wapanda pikipiki ni kundi la tatu likiwa na vifo vya watu 2493, na majeruhi 10,702. Kwa upande wa Baiskeli vifo vilivyotokea ni 1,071 wakati majeruhi wakiwa 2060 na madereva waliofariki kwa ujumla ni 813, majeruhi ni 3,157. Wasukuma mikokoteni 81 walifariki, waliojeruhiwa ni 246. Takwimu hizi zinajumuisha idadi ya ajali 46,536 zilizoripotiwa kwenye vyombo vya sheria ikiwemo jeshi la polisi.

ULIOPITWA NA TAARIFA YA KUUNGUA KWA SHULE YA SEKONDARI MKOLANGA? MKUU WA SHULE AMEZUNGUMZA HAPA

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: Ajali
Millard Ayo September 26, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Taarifa iliyotolewa kuhusu kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa CUF
Next Article VIDEO: Mkakati uliowekwa Kenya ili kupunguza wavutaji wa Sigara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?