Habari za Mastaa

BEEF LINGINE? Miss Kiki adai Rosa Ree anaiga, hana heshima

on

Moja ya rapa staa wa kike anayefanya vizuri kwa sasa Bongoflevani Miss Kiki amefunguka na kudai kuwa hakuna rapa wa kike Bongo ambaye anaweza kumpa shida na kusema rapa mwingine wa kike Rosa Ree ambaye ana hits kadhaa hampi challenge na kwenda mbali zaidi akisema style anayotumia ana-copy.

Miss Kiki amedai Rosa Ree anamuiga Stella Mwangi akisema pia hana heshima kwa kuwa walishwahi kuitwa kwenye interview moja lakini hakutokea kwa sababu ya utovu wa nidhamu.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story…

MASANJA COMEDY: Kuna tofauti kati ya Embassy na Ubalozi

Soma na hizi

Tupia Comments