Mix

Lowassa autaka urais 2020, stori kubwa Magazeti ya Tanzania leo July 17, 2017

on

Moja ya stori kubwa ni kuhusu kifo cha mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu katika Hospital ya Aga Khan, DSM.

Zipo pia habari kuhusu Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kusema atagombea tena Urais 2020 na stori nyingine kubwa kwenye magazeti ya Tanzania leo July 17, 2017. Zote nimekukusanyia na kukuwekea hapa millardayo.com.

ULIIKOSA? Katibu Mkuu wa CHADEMA kawekwa ndani saa 48…bonyeza PLAY kwenye hii VIDEO kutazama!!!

Soma na hizi

Tupia Comments