Habari za Mastaa

Lulu Diva mpenzi yamemshinda amefuta Tattoo ya mpenzi wake, kapokonywa gari?

on

Kwenye upande wa Burudani zimeripotiwa taarifa nyingi kuhusu muimbaji mrembo Lulu Diva kuhusu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake na kudaiwa kupokonywa gari na mwanaume huyo kwasababu za yeye ndiye aliyenunua.

Lulu Diva amezungumza kuhusu hilo ambapo amesema kwa sasa ni kweli amekuwa hatumii gari kitu kinachopeleka watu wengi kudai amepokonywa gari lakini pia amekiri kuwa matatizo kwenye mahusiano ni kitu cha kawaida na kwa sasa amefuta Tattoo ya jina la mwanaume aliyekuwa akimpenda.

Tazama FULL INTERVIEW hapa chini kumuona LULU DIVA akielezea.

EXCLUSIVE: Kwa mara ya kwanza Kusaga kazungumzia hali ya Ruge

Dogo Janja kafunguka kumsadia mahitaji ya shule ya mwaka mzima mwanafunzi Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments