AyoTV

Dereva wa Serikali aliyebeba Wazungu anaswa akiwa ‘speed’

on

Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP FortunatusĀ Muslim amefanya Opareshi ya kukamata madereva wanaoendesha magari kwa ‘speed’ ambapo amemkamata dereva wa serikali aliyekuwa akiwaendesha Wazungu.

Kamanda Muslim amesema atahakikisha anakaa barabarani muda wote hata kama Jumamosi ambapo atakuwa barabarani ili kuwafatilia madereva wanaokimbia hovyo bila sababu za msingi.

“Una over take hovyo, umenipita hadi mimi, tumesema msikimbie, umebeba Watalaamu utawaua hawa…kwani hamtusikii ?,” amehoji Kamanda Muslim.

SAKATA LA KOROSHO: ILICHOKIBAINI SERIKALI KUHUSU VIWANDA VILIVYOPO

Soma na hizi

Tupia Comments