Habari za Mastaa

NEWAudio: Mwana FA na Vanessa Mde wametuletea single mpya “Dume Suruali”

on

Baada ya kimya kirefu, The Baddest Hip Hop MC Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA a.k.a Binamu he’s back kwenye radio waves na mara hii amefanya collabo na Best Female Singer Tanzania na Afrika Vanessa Mdee a.k.a Vee Money kwenye single yake mpya “Dume Suruali”.cxxd9z5wqae_1eb

Singe hii imetayarishwa na Producer Daxochali kutoka studio za MJ Records. Kwa wale wasiofahamu Doxochali ni mdogo wa Marcochali ambaye ni Producer mkongwe kwenye game ya BongoFlava.

Mwana FA na Vanessa Mdee Wakati wakirekodi wimbo huu kwenye studio za MJ Records

Nimekuwekea hapa single hii. Bonyeza play kusikiliza.

VIDEO: Ayo TV imemuhoji Mwana FA na amewazungumzia P Funk, Jokate, Maisha yake, Muziki na menginyo. Tazama hapa

VIDEO: Vanessa Mdee amezungumzia uhusiano wake na Trey Songz 

Soma na hizi

Tupia Comments