Habari za Mastaa

Wimbo ‘Seduce Me’ wa Alikiba umevunja hii rekodi

on

Staa Alikiba amekuwa miongoni mwa wasanii waliovunja rekodi ya kufikisha views Millioni Moja kwenye YouTube ndani muda mchache tu tangu kuachia video yake ya wimbo ‘Seduce me’.

Baada ya kuvunja rekodi hiyo Alikiba ametoa shukrani kwa mashabiki kupitia Instagram yake kwa kuandika>>>“Ahsanteni sana. Thank you for the love, I couldn’t be more blessed and favoured. You mean a lot to me and I do this for YOU. Nawapenda sana #RockstarTV #SHOOOOSH#SonyMusicAfrica #RockStar4000#KingKiba

Aunty Ezekiel aongelea urafiki wake na Wema kupungua, Diamond na Alikiba (+video)

ESMA KAULIZWA: Mama Diamond alikua na hali gani baada ya post ya Ommy Dimpoz? 

Kitu RC Makonda amewaandikia Diamond na Alikiba kutokana na BEEF yao

Soma na hizi

Tupia Comments