Michezo

MWANZO MWISHO:Kocha BUBU aliyemfundisha Tshabalala wa SIMBA SC

on

Leo October 31, 2018 Tunayo story kutokea kwa Kocha wa mpira wa miguu, Seleman maarufu kama ‘BUBU’ ambaye anafundisha timu ya watoto maeneo ya Mburahati jijini Dar es Salaam.

Seleman alipewa jina la BUBU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuongea, lakini hilo halikumzuia kupenda kufundisha mpira wa miguu ambapo kwa sasa anamiliki timu ya watoto, huku akikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa.

Miongoni mwa wachezaji maarufu aliowafundisha ni Beki wa kushoto wa Simba Mohamed Hussein maarufu kama ‘Tshabalala’

Da!!! Takwimu za Samatta Ligi Kuu Ubelgiji msimu huu ni hatari

Soma na hizi

Tupia Comments