Hekaheka ya leo January 11, 2018 inamuhusu mtoto mchanga wa miezi miwili aliyepotea kwenye mazingira ya kutatanisha ambapo inadaiwa kuwa hakuna mtu aliyefika kwenye nyumba hiyo wala mtu aliyetoka, kitu kilichopelekea wahusika kuhusisha na tukio la kishirikina huku wakimtuhumu jirani yao kuhusika.
Mama wa mtoto na majirani wanadai kuwa walienda kuripoti polisi lakini hawakufanikiwa kumpata mtoto ndipo huyo jirani yake akasemasema wampelekee yai atawarudishia mtoto, walitimiza sharti hilo lakini akawa anawapa masharti mengine kama kuwaambia watu waache milango wazi mtoto anakuja na kuna mtu atamleta ila wasimpige huyo mtu bali wampe elfu kumi…
Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza ilivyokuwa..
HEKAHEKA: Mwanaume aliyehudumia mtoto mpaka miaka 9 ambiwa mtoto siwake