Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Upelelezi kesi ya Mdogo wa ROSTAM AZIZ, serikali yaeleza ulipofikia
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Upelelezi kesi ya Mdogo wa ROSTAM AZIZ, serikali yaeleza ulipofikia
Top Stories

Upelelezi kesi ya Mdogo wa ROSTAM AZIZ, serikali yaeleza ulipofikia

November 12, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa Dola za Kimarekani 9,018 inayomkabili Mfanyabiashara, Akram Azizi Abdul Rasool ambaye anadaiwa kuwa ni mdogo wa Rostam Aziz bado haujakamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hayo yameelezwa na Wakili wa Serikali, Elia Athanas mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Augustine Rwezire wakati shauri hilo lilipoitishwa kwa ajili ya kutajwa.

Wakili Athanas amedai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba kesi iahirishwe.Baada ya kueleza hayo kesi imeahirishwa hadi November 26, 2018 mshtakiwa anaendelea kusota rumande.

Mfanyabiashara huyo anakabiliwa na mashtaka 75 ya kesi ya uhujumu namba 82/2018 ambapo katika makosa yake, mawili ni kukutwa na Nyara za serikali, kukutwa silaha makosa 70, kukutwa na risasi makosa mawili ambazo ni zaidi ya (6496) na utakatishaji fedha 1.

Miongoni mwa mashtaka aliyosomewa ni kukutwa na nyara za serikali, ambapo anadaiwa amelitenda October 30, 2018 maeneo ya Oysterbay Dar es Salaam ambapo alikutwa na Meno 6 ya Tembo yakiwa na thamani ya Shilingi MIL 103.

Pia anakabiliwa na kosa la kukutwa na nyama ya Nyati, Kilogramu 65 yenye thamani ya Shilingi Mil 4.35 bila kuwa na kibali, ambalo amelitenda October 30,2018 sawa Oysterbay Kinondoni Dar es Salaam.

Amber Rutty arudishwa gerezani, hizi ndio sababu za kukosa dhamana

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Ayo TV, habari kubwa, top stories
Mika Ndaba TZA November 12, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Hali ni mbaya hakuna mtu mwenye uhakiki, maskini kama mtoto wa shetani” –LEMA
Next Article TETESI: Timu atakayojiunga nayo Nasri baada ya kumaliza kifungo December
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?