Mix

TWEETS: Story kubwa 7 mchana wa leo June 22, 2017…zisikupite

on

Issue ya mzozo wa kidiplomasia inayoendelea kati ya nachi ya Korea Kaskazini na Marekani ni moja ya story ambayo inaendelea kumake headlines katika mitandao mbalimbali duniani kwa kipindi kirefu sasa na hauoneshi kupoa.

Pamoja na hayo nimekukusanyia story kubwa 7 ambazo zimepewa uzito wa juu kwenye twitter ikiwepo issue ya China kutoa msaada wa mchele kwa Kenya na mzozo wa kisiasa walioikumba Ufaransa.

Hizi ni Tweets 7 za story kubwa mchana wa leo June 22, 2017.

 

Soma na hizi

Tupia Comments