Habari za Mastaa

CloudsFM Top 20: List ya Ngoma kali 20 za wiki, July 23, 2017 (+video)

on

Takribani dakika 120 kila Jumapili kupitia Clouds FM ikiwa ni kuanzia saa 5:00 Asubuhi hadi saa 7:00 Mchana zinasikika nyimbo 20 kali za wiki kwenye Clouds FM 20 ambapo wiki hii zimesimamiwa na Mtangazaji Mami Baby.

Kama ulizikosa dakika hizo leo July 23, 2017 kupitia Radio tayari millardayo.com inayo full list na unaweza kuipitia hapa.

20: Nedy Music – Dozee

19: Jux – Umenikamata 

18: Davido – If

17: Stereo ft Rich Mavoko – Mpe Habari

16: Harmonize X Rich Mavoko – Show Me

15: Chege & Temba ft. Emmy Wimbo – Go Down

14: Lulu Diva – Utamu

13: Ray C – Unanimaliza

12: Weusi – Naliamsha Dude

11: Beka Flavour – Libebe

10: Darassa – Hasara Roho

9: Nyashinski – Malaika

8: Bongo Bahati Mbaya – Young Dee

7:  ASLAY – ANGEKUONA 

5: Nandy – Wasikudanganye

4: DJ Khaled – Wild Thoughts ft. Rihanna, Bryson Tiller

3:  Luis Fonsi, Daddy Yankee – Despacito 

2: Saida Karoli – Orugambo

1: DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne

Castle lite unlocks!! Kitu Future amefanya Dar es salaam (video)

Maswali yote ya Diva kwenye meza moja na Chege Ala za Roho 

Soma na hizi

Tupia Comments